Unaweza kutumia bowser nyingine huku ukitumia pia Tor Brower. Japokuwa, unatakiwa kujua mahitaji ya faragha ya Tor Browser haziwezi kuwepo katika browser nyngine. Kuwa makini unaporudi tena na kutoka nje kati ya Tor na browser yennye usalama mdogo, kwa sababu unaweza kwa bahati mabaya ukatumia browser nyingine kwa kitu fulani ulichatarajia kufanya ukitumia Tor.
PakuaTor Browser ili kupata uzoefu wa kuperuzi mtandaoni bila kufuatiliwa,kuchukuliwa taarifa zako na kudhibitiwa.
Pakua Tor BrowserKukuza haki za kibinadamu na uhurukwa kuunda na kusambaza teknolojia huru zinazopatikana bure na zenye kuwa na faragha na kutojulikana, kusaidia kutokuwa na upatikanaji na matumizi yaliyozuiliwa, na kuongeza uelewa wao wa kisayansi na mkubwa.
Alama ya biashara, tangazo la hatimiliki, na sheria za kutumiwa na wahusika wasio wa moja kwa moja zinaweza kupatikana katika FAQ yetu.